×

Mtoto Darasa La Nne Adai Kubakwa Na Bodaboda, Afika Kwa Makonda – Video


Bibi ameongea kwa uchungu mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kuwa mjukuu wake amebakwa na aliyembaka baada ya kufika mahakamani amemgeuzia kesi bibi huyu kuwa anamtaka kimapenzi ndiyo maana anamsingizia amembaka mjukuu wake.

Leave a Comment