×

Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Ashiriki Maziko ya Charles Martin Hilary Mwanakwerekwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi, Mei 14, 2025 ameshiriki katika maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Charles Martin Hilary, amezikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi.