×

Mfalme Zumaridi Akamatwa Na Polisi, Aliwaambia Watoto ‘Yeye Ni Mungu’ Anaweza Kuwatenganisha Na Kifo – Video

Jeshi la Polisi jijini Mwanza limetoa taarifa kuwa linamshikilia Mfalme Zumaridi kwa tuhuma mbalimbali zinazomkabili.