Dkt. Samia Suluhu Hassan Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM
Global Publishers May 26, 2025 4,712 views
SHARE THIS:
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.