Rais Samia Apokea Tuzo Maalum Kutoka Bunge La Tanzania (Picha +Video)
Global Publishers May 31, 2025
SHARE THIS:
Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Viwanja vya Bunge Dodoma, leo tarehe 31 Mei, 2025.
Tuzo hiyo inatolewa kwa kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi Tuzo ya Bunge la Tazania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika leo tarehe 31 Mei, 2025 katika Viwanja vya Bunge.Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa hafla ya kutoa tuzo ya Bunge la Tazania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.