×

Inatisha! Msoto Wa Watanzania India – Sarah Asimulia ”Wanajifungua Wanauza Watoto”- Video


Mwanadada Sarah, amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Watu nchini India wanauza baadhi ya viungo vyao ikiwemo Figo kwa ajili ya kupata fedha.