Mbunge Job Ndugai Aibua Vigelegele Bungeni Dodoma – Video
Global Publishers June 24, 2025 4,688 views
SHARE THIS:
Shangwe la wabunge bungeni jijini Dodoma leo mara baada ya jina la Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kutajwa wakati wa kupiga kura za Bajeti ya Serikali 2025/26.