
Kampuni ya ubashiri Meridianbet kama kawaida ni bandika bandua huku Jumatano ya leo wameamua kuwafikia bodaboda wa kule Mbezi Beach Africana na kuwapelekea Reflectors pamoja na Helmets ambazo ni muhimu kwao wakati wa kazi zao.
Meridianbet imeonesha kuwa si kampuni ya kibiashara tu, bali pia ni mshirika wa kweli katika maendeleo ya jamii. Hatua hii inalenga kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa kuvaa vifaa vya usalama kila wakati, hasa katika maeneo ya mijini yenye msongamano mkubwa wa magari.
Msafara huo wa kwenda Mbezi Beach kwaajili ya utoaji wa reflectors hizo pamoja na helmets uliongozwa na Afisa mahusiano wa Meridianbet Bi Nancy Ingram akiwa na jopo lake ambao moja kwa moja walipokelewa kwa shangwe kubwa sana wa bodoaboda wa eneo hilo kwani ujio wao ulikuwa kama neema kwa wakazi wa eneo hilo.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, mwakilishi wa Meridianbet amesema, “Tunatambua mchango mkubwa wa madereva wa Boda Boda katika uchumi na huduma za usafirishaji wa haraka. Kama sehemu ya kurudisha kwa jamii, tumeona ni muhimu kuunga mkono jitihada za kuhakikisha usalama wao barabarani. Tunaamini reflectors na helmets zitapunguza hatari za ajali na kuongeza mwamko wa kuvaa vifaa kinga.”

Bodaboda wa eneo hilo waliishurukuru sana Meridianbet kwa kuwafikia na kutambua mchango wao kwenye jamii kwani kama inavyofahamika jiji la Dar es salaam ni jiji kubwa sana Tanzania na lina wakazi wengi hivyo kutokana na changmoto za usafiri ambazo wananchi wanakumbana nazo, Bodaboda ndio usafiri mwingine pendwa kabisa amabo hutumiwa na watu kwa kufika kirahisi zaidi.
Ukiachana na hilo pia unaweza kupiga pesa fasta ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Hivyo Meridianbet ikaona kwasababu usafiri huu unapendwa sana ni vyema kuwazingatia wao kwa kuwapatia Helmets na Reflectors za kuwasaidia pindi wakiwa kwenye majukumu yao.
Vilevile Meridianbet inaendelea kuwa mstari wa mbele katika kushiriki shughuli za kijamii zenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania. Hii ni sehemu ya mipango endelevu ya Kampuni katika kusaidia makundi mbalimbali yenye uhitaji na kuchangia maendeleo ya jamii. Jisajili hapa.