×

Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mtumba, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Uwanja wa Mashujaa, Mtumba jijini Dodoma, leo tarehe 25 Julai 2025.