×

Chongolo Aendelea Kutakata – Aongoza Kata 10 Kati ya 12!

Mpaka sasa, Daniel Chongolo anaonekana kuongoza kwa kishindo kikubwa katika kata 10 kati ya 12 zilizohesabiwa, akimpita mbali Deo Sanga (Jahpipo) kwa idadi ya kura katika kila kata.

Muhtasari wa Matokeo (kata 10 zilizohesabiwa):

Kata Chongolo Jahpipo Tofauti ya Kura
Kivavi 985 35 +950
Majengo 289 13 +276
Kitisi 376 68 +308
Utengule 605 45 +560
Makambako 574 26 +548
Mwembetogwa 175 16 +159
Mjimwema 318 26 +292
Laymkena 319 19 +300
Mahongole 761 74 +687
Mlowa 731 13 +718