×

Jisajili Na Meridianbet Upate Bonasi Hadi Mara Tatu

Meridianbet inakukaribisha kwenye ulimwengu wa ushindi kwa ofa ya kipekee, ni 1st, 2nd & 3rd Deposit Welcome Bonus. Hii ni nafasi ya pekee ya kujipatia bonasi kubwa na mizunguko ya bure (Free Spins) hadi 150, mara tatu mfululizo, kwa kufuata hatua rahisi tu za usajili.

Unachohitaji ni kufungua akaunti na kujisajili kupitia tovuti ya Meridianbet.co.tz au application ya simu, kisha weka fedha kwenye akaunti yako mara tatu ndani ya muda uliopangwa. Kila dau unaloweka litakuletea zawadi kubwa zaidi na ushindi wa kuvutia.

Kwa dau la awamu ya kwanza, mteja anatakiwa kuweka fedha ndani ya siku 6 (masaa 144) tangu usajili wake, kisha kutumia dau lote mara mbili (2x) kwenye michezo ya kubashiri yenye odds 1.95 au zaidi, au kufanya mizunguko mitatu (3x rollover) kwenye slot machines siku hiyo hiyo. Ukitimiza masharti haya, utapata 150% Sports Bonus na hadi 150 Free Spins kwenye michezo ya kasino. Idadi ya Free Spins utakazopokea inategemea kiwango cha dau lako, zikianzia 20 hadi 150.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kwa dau la pili, mteja anatakiwa kuweka fedha ndani ya siku 8 (masaa 192) tangu usajili, kisha kulitumia hilo dau lote mara mbili kwenye michezo ya odds 1.95 au zaidi, au mzunguko wa 3x kwenye slot machines. Bonasi hii inalipa 200% Sports Bonus na hadi 150 Free Spins kulingana na kiwango cha dau. Kadri unavyoweka zaidi, ndivyo zawadi zinavyoongezeka.

Kwa awamu ya tatu, mteja anatakiwa kuweka fedha ndani ya siku 10 (masaa 240) tangu usajili, kisha kutumia dau hilo mara mbili kwenye michezo ya odds 1.95 au zaidi, au 3x rollover kwenye slot machines siku hiyo hiyo. Bonasi hii inalipa zaidi ya 250% Sports Bonus na hadi 150 Free Spins, ikikamilisha mbio zako za bonasi mara tatu mfululizo.

Masharti ni sehemu ya bonas yoyote ile, na Meridianbet wameweka masharti mepesi na ya muhimu ya ofa hii ikiwa ni pamoja na kiwango cha chini cha dau kuwa 1,000 TZS, kiwango cha juu cha Sports Bonus cha 50,000 TZS, na mizunguko yote ya bure kuwa halali kwa siku 7 tangu kupokelewa.

Jiunge leo na Meridianbet, weka dau lako mara tatu ndani ya muda uliopangwa, na ufurahie bonasi kubwa pamoja na mizunguko ya bure ya kasino.