×

Shinda Mizunguko ya Bure Kila Siku Kupitia Wild White Whale

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri Tanzania, anakukaribisha kwenye promosheni ya mwezi mzima kupitia mchezo wa kasino mtandaoni wa Wild White Whale. Kuanzia tarehe 01 hadi 31 Septemba, kila mchezaji aliyesajiliwa ana nafasi ya kujizawadia mizunguko 50 ya bure kila siku, kwa kukamilisha mizunguko 100 kwa pesa halisi.

Hii si bahati nasibu. Haijalishi kama umeshinda au la kwenye mizunguko yako ya awali, zawadi yako ya bure ni ya uhakika. Kila mzunguko unakuwa ni daraja la ushindi, na kila siku ni fursa mpya ya kubadilisha mchezo kuwa ushindi halisi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kushiriki mchezo huu ni rahisi aswaa, ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet, cheza Wild White Whale kwa pesa halisi, na ukishafikisha mizunguko 100, mizunguko 50 ya bure itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako. Na kilicho bora zaidi, hakuna masharti ya kuchezwa tena, ushindi ni wako, bila vizingiti.

Promosheni hii inapatikana kwa akaunti moja tu kwa kila mchezaji, kwa mujibu wa sera za uadilifu za Meridianbet. Kampuni pia inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha ofa hii bila taarifa ya awali.

Usikubali nafasi hii ikupite. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet, cheza Wild White Whale, na uanze safari yako ya ushindi wa kila siku. Cheza kwa ujasiri, na ushinde kwa uhuru.

Leave a Comment