×

Mahakama Kuu Kusikiliza Kesi ya Mpina dhidi ya Tume ya Uchaguzi Septemba 29

Mahakama Kuu imepanga kusikiliza kesi ya mgombea wa uchaguzi, Mpina, dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), siku ya Jumatatu, Septemba 29, 2025.

Leave a Comment