×

Pumzi za Moto Wikiendi Hii, Ligi Kuu ya Uingereza na Meridianbet

Ligi Kuu ya Uingereza inageuka kuwa uwanja wa mapigano wikiendi hii, mechi zimejaa mvutano, vita ya kupigania alama tatu na nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet imeweka odds za kuvutia, sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kubashiri kwa busara.

Brentford wakiwa nyumbani, wanahitaji alama tatu kwenye mchezo huu dhidi ya united. Manchester United wanaingia kwenye mchezo na hamasa kubwa baada ya ushindi mkubwa dhidi ya Chelsea, hivyo mechi hii inakua ya kipekee kwa timu zote. Wabashiri wanaweza kupata mara dufu ya walichokiweka kwenye mchezo huu.

Chelsea na Brighton wana vita yao wenyewe, sasa wanarudia kukutana na tutarajie mchezo wenye ushindani kama michezo yao ya nyuma ilivyokua. Chelsea wanatafuta kuvunja uteja huku Brighton wakitaka kudumisha ubabe wao kwa mabingwa hawa wa dunia. Ukubwa wa mchezo huu unaenda sawa na ukubwa wa odds pale meridianbet.

Meridianbet inatoa odds zinazovutia kwa mechi hizi pamoja na ofa za kasino mtandaoni. Kujisajili ni rahisi kupitia tovuti meridianbet.com au kwa kupiga *149*10#. Fursa nzuri zinapatikana sasa.

Liverpool wanaendelea kuwa timu pekee ambayo haijadondosha alama yoyote ile mpaka sasa na wanaenda kukutana na walewale waliowanyima ngao ya jamii mwanzoni mwa msimu, Crystal Palace. Ni mchezo wa Liverpool kulipiza kisasi chake huku akipambana kuiendeleza rekodi ya kutokupoteza ila na Crystal palace wakiwa nyumbani wanategemea kumpa upinzani bingwa huyu mtetezi.

City wanarejea Etihad wakitaka kurekebisha mwenendo wao kwenye ligi asa baada ya kulazimishwa sare ugenini na Arsenal. Burnley mpaka sasa wana ushindi mmoja pekee msimu huu hivyo nia ya kutafuta ushindi wa pili utaufanya mchezo huu kuwa mgumu sana. Hii ni mechi ya kitaalam na ndiyo maana Odds za Meridianbet zimewekwa kwa ukubwa wa hali ya juu.

Tottenham wapo na timu bora wakishikiria nafasi ya tatu kwenye msimamo na wanaenda kukutana na Wolves mbovu zaidi kwa msimu huu ambayo mpaka sasa haijaambulia hata alama moja kwenye michezo yake mitano waliyocheza. Hii ni nafasi kwa Tottenham kuongeza nguvu zao na kwa Wolves kurejesha morali. Wabashiri wana nafasi kubwa ya ushindi kwa odds nzuri zilizopo kwenye mchezo huu.

Wikiendi hii kila dakika itabeba mbinu za kuvutia na fursa za kubashiri zilizopangwa vizuri. Chagua mechi, tengeneza jamvi lako kwa busara na ufurahie mchezo huku Meridianbet ikitoa odds zinazoweza kubadilisha mchezo wako wa kubashiri.

Leave a Comment