
Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye tamasha la mechi kali, ushindani wa hali ya juu, na fursa tele za ushindi kupitia Meridianbet. Ligi kuu barani Ulaya zinarejea kwa kasi, na kila pambano linakuja na ladha yake. Kutoka Italia hadi Ufaransa, Ujerumani hadi England. Kwa wapenzi wa kubashiri, huu ni wakati wa kugeuza maarifa kuwa ushindi.
Katika Serie A, pazia linafunguliwa kwa mechi nyingi za kuvutia, Lazio wakicheza nyumbani dhidi ya Torino, huku Parma wakipambana na Lecce. Usiku, Inter Milan wataingia dimbani dhidi ya Cremonese kwenye mechi inayotarajiwa kuwa na kasi na mbinu za hali ya juu. Meridianbet inatoa machaguo zaidi ya 1000 kwa kila mechi.
Bundesliga nayo inakuja na msisimko wake. Bayern Leverkusen wanachuana na Union Berlin, Borussia Dortmund wanakutana na RB Leipzig, huku Werder Bremen wakiwakaribisha St. Pauli. Saa 19:30, Eintracht Frankfurt wakiwa nyumbani wanakutana na mabingwa watetezi Bayern Munich katika mechi ya hadhi ya juu. Meridianbet inakupa odds za kiushindani kwa kila tukio.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi nyingine nyingi za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Ligi Kuu ya England haibaki nyuma. Arsenal wanawakaribisha West Ham United, Manchester United wanapambana na Sunderland, na Chelsea wanakutana na Liverpool katika mtanange wa kukata na shoka. Mechi hizi zinatarajiwa kuwa na mvutano mkubwa, na Meridianbet imeweka odds za kuvutia pamoja na machaguo ya papo kwa papo kwa wanaopenda kubashiri wakati mechi ikiendelea.
Kule Ufaransa, Ligue 1 inaanza kwa mechi ya Metz dhidi ya Marseille, ikifuatiwa na Brest dhidi ya Nantes, pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali. Usiku wa leo unahitimishwa kwa mechi ya Auxerre dhidi ya Lens, timu namba saba ikipambana na namba 14 kwenye msimamo wa ligi. Kwa mashabiki wa mechi za usiku, Meridianbet inakupa nafasi ya mwisho ya kuchukua ushindi wa wikiendi kwa odds kubwa na machaguo ya kipekee.
Kwa mashabiki wa soka na kubashiri, wikiendi hii ni ya kipekee. Tembelea Meridianbet kwa machaguo bora, odds za ushindani na promosheni kabambe.