×

John Heche Akamatwa Akiingia Mahakama Kuu Kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amekamatwa na askari wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kuwasili katika Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo alipokuwa akiwasili mahakamani.

 nbsp;

Leave a Comment