×

Rais Dkt.Samia ateua Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais,Maendeleo ya Vijana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni wafuatao:-

(i) Bi. Jenifa Christian Omolo, ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,Maendeleo ya Vijana. Kabla ya uteuzi huu, Bi. Omolo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha; na

Aidha, uapisho wa viongozi walioteuliwa utafanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 21 Novemba, 2025 saa 8.00 mchana.

Leave a Comment