The House of Social Media
gunners X

Chuo Kikuu cha Mzumbe Chatangaza Nafasi za Kazi 21, Habari Njema kwa Wahitimu

0

Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU) kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza jumla ya nafasi 21 za ajira za kitaaluma kwa ngazi za Assistant Lecturer na Tutorial Assistant.Soma zaidi kwa kubonyeza link hapa chini

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU MZUMBE


NAFASI ZA ASSISTANT LECTURER (PUTS 2.1)

📌 Jumla ya Nafasi: 11

Zinajumuisha fani zifuatazo (kila moja nafasi 1):

  1. Economics and Finance

  2. Entrepreneurship

  3. Marketing

  4. Agribusiness

  5. Computer Science

  6. Economics

  7. Environmental / Climate Change Law

  8. ICT Law

  9. Communication Skills

  10. Human Resource Management

  11. Accounting and Finance

✔ Sifa Kuu:

  • Shahada ya Uzamili (Master’s Degree) yenye GPA ≥ 4.0/5.0

  • Shahada ya Kwanza (Bachelor’s Degree) yenye GPA ≥ 3.8/5.0

  • B+ au zaidi kwenye Dissertation

  • Kwa Master isiyo na GPA (Research/Thesis only): machapisho angalau 2 kwenye majarida yenye hadhi


 NAFASI ZA TUTORIAL ASSISTANT (PUTS 1.1)

📌 Jumla ya Nafasi: 10

Fani na Idadi:

  • Youth Development & Leadership – 2

  • Agribusiness – 2

  • Economics – 2

  • Production & Operation Management – 1

  • Logistics & Supply Chain Management – 1

  • Environmental Management – 1

  • Accounting and Finance – 1

✔ Sifa Kuu:

  • Shahada ya Kwanza husika

  • GPA ≥ 3.8/5.0

  • Tayari kuendelea na Masomo ya Uzamili (Master’s Degree)


 MASHARTI YA JUMLA

  • Mwombaji awe Raia wa Tanzania

  • Umri usizidi miaka 45 (isipokuwa waliopo Utumishi wa Umma)

  • Maombi yapitishwe kupitia Recruitment Portal (Ajira.go.tz)

  • Waajiriwa Serikalini waombe kupitia waajiri wao

  • Vyeti vyote viwe vimehakikiwa (certified)

  • Hakuna result slips au partial transcripts

  • Maombi yaandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza

SPIKA MSTAAFU TULIA AONGELEA YALIYOTOKEA OKTOBA 29 AKIWA USO KWA USO NA WAZIRI MKUU

Leave A Reply