Kaka Wa Lissu Msibani Kwa Mtei – Aeleza Alikwenda Kumuona Lissu Akanyimwa Faragha- Video
Wakili Alute Mughwai, kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ni miongoni mwa waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Edwin Mtei.
Marehemu Mtei aliyewahi kuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), alifariki dunia usiku wa kuamkia Januari 19, 2026 akiwa na umri wa miaka 94.
Video kamili ipo Youtube, Global TV.
🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

