Mkutano Wa Wazee Kuimarisha Haki Umoja Na Amani Kwa Watanzania Yatoka Na Maadhimio Haya
Wito umetolewa kwa Watanzania Kuwajibika na kuwawajibisha wasiowajibika kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni ziongozazo.ili Kuweka maslahi ya Taifa juu ya Ubinafsi, Vyama wala Makundi yoyote. Kushirikiana kwa umoja katika kutatua changamoto na migogoro kwa amani.





