×

Meridianbet Yajivunia Miradi Zaidi 500 Ya Ustawi wa Jamii

Katika hafla ya chakula cha usiku ya American Chamber of Commerce (AmCham Tanzania), Meridianbet ikisimama kama moja ya washiriki wakubwa kwenye tukio hilo ilionyesha kujivunia utekelezaji wa miradi zaidi ya 500 ya kijamii nchini tangu mwaka 2009. Hii ikiwa ni kuonyesha dira iliyo wazi ya kampuni, kurudisha kwa jamii.

Miradi hiyo imegusa sekta mbalimbali muhimu kwa maendeleo ya taifa. Kuanzia programu za elimu na mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana, hadi udhamini wa michezo ya vijana na kampeni za afya ya umma. Meridianbet imekuwa mshirika wa karibu wa jamii huku miradi ya kuboresha miundombinu ya kijamii imepewa kipaumbele.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi, Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kwa kuwa sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet Tanzania inaleta viwango vya kimataifa katika uwajibikaji wa kijamii. Katika sekta ya michezo ya kubahatisha ambayo mara nyingi hukosolewa kwa kuchukua zaidi kuliko kurudisha, Meridianbet imechagua njia tofauti, ambayo ni kujenga, kushirikisha na kurejesha kwa jamii kwa zaidi ya miaka 17 sasa.

Uwajibikaji huu unaimarishwa na sera madhubuti za ulinzi wa mteja. Kuna mifumo ya kubaini mapema mienendo hatarishi, huduma kwa wateja kwa Kiswahili na Kiingereza, pamoja na mipaka maalum ya matumizi ili kuhakikisha burudani inabaki kuwa burudani. Wageni waalikwa wa AmCham walipata fursa ya kipekee ya kujifunza kwa kina kuhusu mifumo hii.

Zaidi ya yote, Meridianbet imeunda mtandao wa mabalozi wa jamii unaowashirikisha wateja moja kwa moja katika miradi ya CSR. Ikiungwa mkono na zaidi ya wafanyakazi 200 na mamia ya washirika wa rejareja, huku ikiilenge Tanzania kuwa mahala pa uwekezaji wa muda mrefu.

Leave a Comment