×

Fursa Mpya za Ajira Usichelewe! Bank Teller 13 na Supervisor 7 Wanahitajika

Unatafuta kazi au unamjua anayehitaji ajira? Hii ni nafasi yako ya kuanza safari mpya ya mafanikio!

🏦 JOB JUNCTION TANZANIA wanatafuta watu makini kujiunga na timu yao:

🏦 BANK TELLER (13)

✅ Ujuzi wa kutumia Bank Software
✅ Ufahamu mzuri wa Kompyuta
✅ Mawasiliano mazuri
✅ Muonekano nadhifu + huduma bora kwa wateja

👔SUPERVISOR (7)

✅ Uzoefu wa Management
✅ Uongozi thabiti
✅ Smart & mwenye kujiamini
✅ Huduma bora kwa wateja
✅ Mawasiliano mazuri

📲 Tuma maombi yako moja kwa moja WhatsApp:
0656116023

⚡ Usikose nafasi – Ajira ni chache, omba mapema!

Leave a Comment