Mamia ya waombolezaji wamejitokeza asubuhi hii kushiriki Misa ya mazishi ya Kardinali Pengo katika eneo la Kituo cha Hija, Pugu, jijini Dar es Salaam.
🔴 Tufuatilie moja kwa moja kwenye YouTube ya Global TV — bofya like, toa comment na usajili (subscribe) ili upokee taarifa za moja kwa moja na habari mbalimbali za ukweli na uhakika.