×

Supermarket Yatangaza Nafasi za kazi 17 za Cashier, Wanahitajika Haraka

Supermarket inatangaza nafasi 17 za Cashier kwa watu wenye sifa stahiki kujiunga na timu yetu.

Vigezo vya Mwombaji:

  • Awe na huduma nzuri kwa wateja (Customer Care)
  • Awe na ujuzi wa kompyuta
  • Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano
  • Awe nadhifu (smart)
  • Awe na uzoefu wa mauzo (Sales experience)

Mshahara:

  • Tsh 500,000 kwa mwezi

Jinsi ya Kuomba:

  • Tuma maombi yako kupitia WhatsApp pekee: 0623872871

Leave a Comment