×

Fursa ya Kipekee: Ajira 1000 za Wapishi wa Kiume Nchini Oman

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na wakala binafsi wa ajira HAIBI inapenda kuwatangazia Watanzania wote nafasi 1000 za wapishi wa kiume nchini Oman.

Sifa za mwombaji:

  • Awe na uzoefu wa kazi ya upishi
  • Awe na afya njema
  • Awe tayari kufanya kazi nje ya nchi
  • Awe na nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii

Faida:

  • Mshahara mzuri
  • Malazi yatatolewa
  • Fursa ya kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa

Mwisho wa kutuma maombi:
21 Aprili 2026

 

Leave a Comment