×

Nafasi za Kazi; Anahitajika Afisa Masoko Mwenye Uzoefu

GLOBAL PUBLISHERS AND GENERAL ENTERPRISES LIMITED; Wamiliki wa Global TV, Global Radio na mitandao yake ya kijamii inayofuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi inatangaza nafasi ya kazi ya AFISA MASOKO mwenye uzoefu wa kutafuta masoko kwenye vyombo vya habari (utafutaji wa matangazo) wenye ujuzi na sifa zifuatazo;
• Kutafuta na kuvutia wateja wa matangazo
• Kubuni na kuuza mawazo ya matangazo (advertising concepts)
• Kusimamia utekelezaji wa matangazo kupitia:
📱 Instagram | YouTube | Facebook | Website

✅ SIFA MUHIMU:
• Uzoefu wa Advertising Sales (Media House ni faida kubwa)
• Mkazi wa Dar es Salaam
• Uwezo wa kubuni na kuwasilisha wazo kwa mteja
• Ujuzi wa kutumia:

  • Smart phone
  • Laptop
    • Mawasiliano mazuri kwa Kiswahili na Kiingereza

⭐ FAIDA ZAIDI:
• Ujuzi wa picha na video
• Video editing au matumizi ya AI tools
• Uzoefu wa kazi kwenye Media House

💰 TUNAKUPA:
🔥 Mshahara + Commission nono
🔥 Fursa ya kufanya kazi na Makampuni kubwa

Mwisho:
Kama unakidhi vigezo vyote vilivyoainishwa hapo juu, tuletee barua yako ya maombi ya kazi haraka ofisini iliyoambatana na CV yako pamoja na vivuli vya vyeti vyako, wasilisha mwenyewe ofisini kwetu, Sinza Mori (Global Group House).

Tuma CV yako sasa WhatsApp +255 789 515 432

📩 TUMA MAOMBI YAKO SASA!

Leave a Comment