×

Nani Atavuka? Arsenal vs Atlético Madrid Baada ya Sare ya Awali leo

Leo Mei 5 saa 22:00 kwa saa za Afrika Mashariki, dimba la Emirates huko London litakuwa kinara wa mapambano makali kati ya Arsenal na Atlético Madrid katika mkondo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mkondo wa kwanza Uhispania ulimalizika kwa sare ya 1-1, matokeo ambayo yalifugwa kwa mikwaju ya penati kwa timu zote mbili. Kwa Arsenal wanaingia kwenye mchezo akiwa narekodi nzuuri pindi akutanapo na Atletico ingawaje Atletico ni  timu tata, kwani Atlético wanasifika kwa kushambulia sana na kuzuia sana chin ya mpango wa kocha  wao Diego Simeone.

Arsenal itakosa huduma za mlinzi wake Jurrien Timber, kutokana majeraha. Hivyo, Ben White au Mosquera Cristhian wanaweza kuungana na Gabriel Magalhães. Katika safu ya ushambuliaji, Bukayo Saka na Martin Ødegaard wanatarajiwa kuwa silaha kuu kuchokoza ulinzi wa Atlético unaosaidiwa na mabeki Jan Oblak. Kwa upande wa Atlético, wachezaji wao kama Koke na Lookman Ademola, Griezmann Antoine wanajulikana kubadili mfumo kutoka 5-3-2 hadi 4-4-2 wanapokuwa wanajihami.

Arseanal wanapewa nafasi kubwa kutokana na kuwa bora msimu huu akiwa hajapoteza mchezo wowote kwenye michuano hiyo ya ligi ya mabingwa msimu huu tangu kampeni hiyo ilivyoanza.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwenye suala la mbinu timu hizi zinatofautiana kimuundo amabapo Arsenal akitegemea eneo lakiungo na pembeni katika kujenga mashambulizi yake, Arteta amekuwa akiwatumia viungo kama Rice, Zubemend na juu yao akiwepo Ezze na kwa upande wa mawinga arteta amekuwa akiwatumia Bukayo Saka, Madueke, Trossad na Martinel ambao wamekuwa nguzo imara katika kuifanikisha Arsenal.

Atlético pia wananafasi endapo watatumia nafasi ambazo watazipata. Miongoni mwa sababu ambazo zilipelekea kutokea sare ni suala la kutotumia nafsi walizo zitengeneza kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza ambaposafu yao ikiongozwa na  Griezmann Antoine, Almada Thiago, Ademola Lookman ambapo.

Atletico wanaingia kwenye mchezo huu huku wakitarajiwa kuikosa huduma ya nyota wao muhimu ambao wamekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi chao hususan eneo la ushamburiaji Sorloth Alexander, Alvarez Julian, Gonzalez Nicolas na Simeone Giuliano. Jisajili

Leave a Comment