×

Shinda Sehemu ya TZS Bilioni 5: Ingia Mchezoni na Bahati Nasibu ya Taifa Leo

Kama unapenda burudani, presha ya mchezo na ushindi wa kweli huu ndio wakati wako wa kuwa mchezoni. Bahati Nasibu ya Taifa imeleta shindano jipya linaloweka kila Mtanzania uwanjani, likitoa nafasi ya kushinda kila siku, kila wiki… na kila unapocheza.

Hii si promosheni ya kawaida. Hapa ni kama mechi ya fainali kila tiketi ni nafasi ya kufunga bao la ushindi.

Zaidi ya TZS Bilioni 5 zipo mezani, zikisubiri washindi. Kuanzia jackpoti kubwa, fedha taslimu hadi zawadi za kila siku, kila mchezo una nafasi yake. Kila tiketi halali unayonunua si tu tiketi ya kucheza ni tiketi ya pili ya kushinda, ni nafasi ya kurudi uwanjani na kujaribu tena, na ni tiketi ya kushinda droo za kila siku na kila wiki.

Mashabiki wa mchezo watapata burudani ya hali ya juu kupitia michezo kama LOTTO, Tamba na Namba, Spin4Cash na Toboa Chap Chap, michezo inayokupa ushindi wa papo hapo au nafasi ya kushinda kupitia droo zinazoendelea kila siku.

Na zawadi? Hapa hakuna masihara. Simu kali, tablet, TV za kisasa, mifumo ya burudani ya nyumbani, pesa taslimu, bodaboda hadi bajaji, zote zipo na zinasubiri washindi wapya kila siku.

Mkurugenzi wa Bahati Nasibu ya Taifa, Kelvin Koka, amesema shindano hili limeundwa kwa mtindo wa mchezo unaoendelea kila ukicheza, unapata nafasi nyingine ya kushinda.

“Hii ni kama ligi isiyoisha. Kila tiketi halali inakupa nafasi ya ziada. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo unavyojiweka karibu zaidi na ushindi,” alisema.

Kuingia mchezoni ni rahisi kuliko unavyofikiria. Piga *149*88#, tembelea www.nationallottery.co.tz, nunua tiketi kwa mawakala waliopo karibu nawe, au tumia apps kama Mix by Yas, Selcom Pesa na Airtel App.

Na uzuri zaidi? Kila tiketi halali inaingia moja kwa moja kwenye droo za kila siku na kila wiki maana yake mchezo hauishi unapomaliza kucheza. Msisimko unaendelea!

Huu ni wakati wa Watanzania kuingia kwenye game na kubadilisha maisha kupitia burudani. Huu ni mchezo unaolipa na washindi wanatangazwa kila mara.

Ujumbe ni mmoja tu: Kuna anayeshinda leo. Kwa nini isiwe wewe?

Bw. Koka anasisitiza: “Shinda sehemu yako ya TZS Bilioni 5. Cheza leo kwa sababu kila tiketi ni nafasi nyingine ya kushinda.”

Bahati Nasibu ya Taifa inasema: Amini. Cheza. Ushinde.

Leave a Comment