Ubalozi wa Tanzania Marekani umetangaza nafasi mpya ya ajira kwa Dereva wa Ndani (Local Based Driver) kwa mwezi Mei 2026. Tangazo hilo limetolewa kupitia tovuti rasmi ya ubalozi wa Tanzania mjini Washington DC, Marekani.