
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia baina ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC) inakualika kuwekeza katika miradi ifuatayo:
- Ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano na sherehe
- Ujenzi wa nyumba za kisasa za kupangisha na biashara
- Ujenzi wa jengo la kisasa la biashara
- Ujenzi wa hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota tatu
Karibu Njombe kuwekeza katika fursa za maendeleo na uchumi endelevu.
Mawasiliano:
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe / PPPC
SLP 547 Njombe,
Simu: +255 767 674646
Barua pepe: [email protected] / [email protected]
Tovuti: www.njombedc.go.tz / www.pppc.go.tz