×

Ureno na Uingereza Kuvuta Hisia za Mashabiki Leo, Kombe la Dunia

Ni banduka bandua tena leo hii michuano mikubwa Duniani itaendelea kwa mechi za ushindi. Lakini kwa upande wa Meridianbet wanasema kuwa pesa kubwa inakungoja wewe, hivyo ingia na ubeti siku ya leo.

Anza safari ya ushindi kwenye mechi ya Uingereza vs Ghana kutoka Afrika ambayo kwenye mechi ya kwanza waliondoka na ushindi mwembamba kupitia kwa mchezaji wao Yirenkyi anayekipiga kule Nordsjaelland.

Thomas Tuchel na vijana wake baada ya kuanza kampeni hii kwa kishindo kikubwa, sasa wanaingia kwenye mchezo huu kwa morali ya hali ya juu zaidi wakiwa na wachezaji wenye ubora mkubwa zaidi kwenye michuano hii wakiwa na uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi pia.

Hii ni mechi ya ushindani kwani mpaka sasa kutokana na mechi chache ambazo tumeshuhudia kwenye michuano hii kutoka Afrika zimekuwa na ushindani mkubwa zaidi kulinganisha na zamani. Na kikubwa ambacho kinazibabe hizi timu ndogo zinapokutana na kubwa ni kuwa na nidhamu nzuri ya ulinzi huku wakishambulia kwa kushtukiza.

Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Uingereza ni moja ya Taifa ambalo pia lipo kwenye timu zinazopewa nafasi ya kufika mbali kwenye michuano hii kwani wana wachezaji wenye uwezo wakiongozwa na Harry Kane, Bellingham, Saka, na wengine wengi. Lakini pia kikosi hiki chini ya Thomas Tuchel kimezidi kuwa na makali zaidi.

Licha ya Uingereza kupewa nafasii kubwa ya kushinda mechi hii, lakini lolote linaweza kutokea kwani kuna matokeo ya kushangaza mabayo yametokea kwenye mechi kadhaa na hii inaonesha kuwa timu zimejipanga. Meridianbet inakwambia kuwa machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.

Macho yote yatakuwa kwenye mechi ya  Ureno vs Uzbekistan ambapo vijana wa Martinez wanaingia uwanjani kuskaa ushindi wao wa kwanza kwenye michuano hii baada ya kutoa sare dhidi ya Congo mechi iliyopita ya ufunguzi.

Ureno inahitaji ushindi kwa hali na mali kwani maneno yalikuwa mengi baada ya kutoa sare kwani hili ni moja ya Taifa ambalo lipo kwenye zile timu 6 zinazowaniwa kushinda taji hili kutokana na ubora wa wachezaji. Pia ni timu ambayo inasifika kuwa na viungo bora zaidi kama vile Bruno, Vitinha, Joao Neves.

Huku Uzbekistan wao walianza mechi yao ya ufunguzi kwa kupoteza dhidi ya Colombia tena kwa mabao 3, hivyo pia kwenye mechi hii ya pili inahitaji ushindi ili kujiweka sehemu nzuri kwenye matumani ya kufuzu kwenye hatua ya 32 bora.

Timu hizi mbili kwenye viwango vya FIFA, yaani Ureno ipo nafasi ya 5 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 50. Cristiano Ronaldo na wenzake kushinda mechi hii kutawarejeshea morali ya kuendelea kufanya vizuri mechi zijazo. Lakini baadhi ya mashabiki kutoka asehemu mbalimbali Duniani kote wanaamini kuwa endapo vijana hao wa Ureno wakiacha ubinafsi na kucheza kitimu huenda wakafanya vyema zaidi.

Meridianbet wanampa Ureno nafasi kubwa ya kushinda kwenye mechi hii ya leo kutokana na tofauti kubwa ya vikosi iliyopo. Je wewe nafasi ya kuondoka na pointi 3 unampa nani?. Tandika jamvi hapa.

Leave a Comment