
Leo hii tena historia inaenda kuandikwa kati ya Mataifa mawili yanai ni Canada dhidi ya Morocco ambapo wote wawili wanawania nafasi ya kwenda Robo Fainali ya michuano mikubwa hii Duniani. Je nafasi unampa nani leo kushinda?
Pambano kati ya Canada vs Morocco ni moja ya mechi ambayo inaeda kuwa ya kihistoria kwani kila timu imejipanga vilivyo kuvuka kwenda hatua ya Robo Fainali ambapo kial timu inapewa nafasi ya kufanya vyema.
Chini ya kocha mkuu Jesse Marsch Canada imeendelea kufanya vyema mpaka kufika hatua hii ambayo wamefika. Timu hiyo imekuwa ikipeleka presha kubwa kwa wapinzani wake kupitia kasi, nguvu za mwili na mashambulizi ya haraka.
Wachezaji wake hawana hofu ya kushambulia hata wanapokutana na timu zenye majina makubwa, jambo ambalo limeifanya kuwa timu inayoweza kubadilisha matokeo ndani ya dakika chache. Ikiwa Canada itaanza mchezo kwa kasi yake ya kawaida, inaweza kuwalazimisha Morocco kutumia muda mwingi wakijilinda badala ya kujenga mashambulizi.
Nafasi ya kuondoka na pesa ndefu ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Huku Morocco wao chini ya kocha mkuu Ouahb imeendelea kuthibitisha kuwa mafanikio yake kwenye soka la kimataifa si ya bahati mbaya. Timu hiyo imejijengea sifa ya kuwa na ulinzi wenye nidhamu, uwezo mkubwa wa kusoma mchezo na kutumia vizuri nafasi chache zinazojitokeza kama kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Uholanzi. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa.
Kama ambavyo tumeona aina ya uchezaji kwa wote wawili, Canada itahitaji kutumia nguvu na kasi kuwabana viungo wa Morocco ili wasiwe na muda wa kupanga mashambulizi. Hata hivyo, kama Simba wa Atlas itafanikiwa kumiliki mpira na kuendesha mchezo kwa utulivu, inaweza kuondoa makali ya Canada na kuanza kutawala taratibu.
Pia kuna suala la nyota kurejea. Nahodha wa Canada Alphonso Davies amerudi kutoka majeraha na tayari alitoa mchango muhimu katika ushindi dhidi ya Afrika Kusini. Ikiwa ataanza dhidi ya Morocco, kasi yake na uwezo wake wa kushambulia kutoka pembeni vinaweza kuleta tofauti kubwa.
Wakati huo huo Morocco nao wana wachezaji hatari na wakuchungwa akiwemo Saibari, Brahim Diaz, Hakimi, Mazraoui lakini kwenye lango lao wana golikipa mwenye uwezo mkubwa sana Bono ambaye anaendelea kuthibitisha kwanini aendelee kukaa langoni hapo. Odds kubwa zinakungoja siku ya leo na Meridianbet.