×

Haya Hapa Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu 2026 Yaliyotangazwa na NECTA leo – Video

Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumatatu Julai 6, 2026, limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na mitihani ya Ualimu kwa mwaka 2026.

Akizungumza wakati wa kutangaza matokeo hayo, Dkt. Said Mohamed amesema jumla ya watahiniwa 126,578 walifanya mtihani huo, ambapo 64,187 ni wanaume, sawa na asilimia 50.71, huku 62,391 wakiwa wanawake, sawa na asilimia 49.29.

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2026

Leave a Comment