×

The Heaven Quality Band – Haya Njooni (Official Music Video)

Kama unapenda nyimbo za Injili zenye ujumbe, sauti nzuri na zinazokufanya umsifu Mungu kwa moyo wote, basi huu ni wimbo wa kuweka kwenye playlist yako.

Kupitia wimbo huu, The Heaven Quality Band wameleta ujumbe wenye nguvu wa imani, upendo na mwaliko wa kumkaribia Mungu. “Haya Njooni” ni wimbo unaogusa moyo na kutukumbusha umuhimu wa kusimama pamoja katika imani na kumtukuza Mungu.

Video hii imebeba hisia, ujumbe na mazingira yanayoendana na uzito wa wimbo, huku ikitoa nafasi kwa kila mtazamaji kutafakari na kufurahia ujumbe wake.

Usisikilize peke yako mwambie na mwingine HAYA NJOONI!

Leave a Comment