×

Nafasi za kazi kwa wanawake – Wahudumu wa maduka Mlimani City na Posta

Nafasi za kazi zimetangazwa kwa wanawake pekee kwa ajili ya kufanya kazi kama Wahudumu wa Maduka katika maeneo ya Mlimani City na Posta, Dar es Salaam.

Mshahara: TSh 450,000 kwa mwezi.

Sifa za mwombaji:

  • Awe mwanamke.
  • Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu.
  • Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja.
  • Uzoefu wa kazi ni faida.

Jinsi ya kuomba

Waombaji wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia WhatsApp: 0747065803.

Kumbuka: Nafasi hizi ni kwa wanawake pekee na nafasi ni chache. Waombaji wanashauriwa kutuma maombi mapema.

Leave a Comment