
Mechi kali zinatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku tayari Meridianbet wakiwa wamekuwekea Odds za kuvutia. Je nani unampendelea zaidi kukupatia matokeo?. Jisajili hapa.
Ligi kuu kule Hispania yaani LALIGA itaendelea ambapo Barcelona atakipiga dhidi ya Rayo Vallecano ambapo mabingwa hao watetezi wanataka kuanza msimu wakiwa na kasi nzuri katika harakati za kutetea ubingwa wao.
Chini ya Hansi Flick wanaingia kwenye mchezo wakiwa na kikosi chenye uwezo mkubwa wa kutawala mpira. Mfumo wao unategemea pasi za haraka, pressing baada ya kupoteza mpira na kutumia kasi ya wachezaji wa pembeni.
Kitu muhimu zaidi kitakuwa kufungua ulinzi wa Rayo, kwa sababu Rayo si timu rahisi. Barca wanahitaji kufanya kazi ya ziada kuhakikisha wanafungua nafasi za kalbu hiyo na kuweza kupata magoli. Beti hapa.
Barcelona wanahitaji kuzungusha mpira kwa haraka na kutumia nafasi kati ya mabeki na viungo wa Rayo.
Lakini pia mchezo huu pia unaweza kuwa muhimu kwa Rodri, ambaye anatarajiwa kupata dakika zake za kwanza Barcelona baada ya kujiunga kutoka Manchester City. Flick amesema anatarajiwa kucheza dakika chache na uzoefu wake unaweza kusaidia Barcelona kuongeza udhibiti wa kiungo.
Je pesa yako unaiweka kwa nani kati ya hizi timu mbili?. Ingia kwenye akaunti yako na usuka jamvi la ushindi siku ya leo.
Piga pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
EPL kule Uingereza kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka ambapo mabingwa watetezi wa ligi hiyo Arsenal watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Aston Villa ambao walishangazwa kwenye mechi yao ya kwanza kwa kipigo kizito.
Vijana wa Mikel Arteta wameendelea kuuthibitishia ulimwengu kuwa mafanikio ya msi u uliyopita, hayakuja kwa bahati mbaya bali kwa kujituma na uwezo mkubwa ambao wachezaji walionesha hivyo hii mechi pia wanahitaji kwenda kufanya maajabu makubwa kabisa pale Villa Park.
Meridianbet kama kawaida wao wanampa nafasi kubwa The Gunners kuondoka na ushindi siku ya leo kutokana na kiwango ambacho anacho, lakini je vijana wa Unai watakubali kupoteza mechi ya pili mfululizo kwenye ligi?. Odds kubwa zipo hapa. Jisajili hapa.
Takwimu zinaonesha kuwa msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana, kila mtu alishinda nyumbani kwake, hivyo kila timu iliondoka na pointi 3 kwenye mechi mbili walizokutana. Je safari hii itakuwaje?
Arsenal wamejiimarisha sana kwenye msimu huu kwa kuleta wachezaji wenye uwezo mkubwa akiwemo Tzolis ambaye alionesha kiwango bora kabisa kwenye mechi ya kwanza na wachezaji wengine wakifanya vyema kabisa na kuihakikishia ushindi klabu hiyo ya London.
Lakini pia unaweza ukaweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mtanange huu wa leo ambapo hapo utakuwa na nafasi ya kushinda kabisa, lakini pia unaweza ukatumia BET BUILDER kufanya ubashiri mechi hii.