×

Guinness Kulizungusha Kombe la Ligi Kuu ya England (EPL) Jijini Dar es Salaam

Dar es salaam leo imepokea moja ya kombe lenye mashabiki wengi zaidi wa soka duniani. Kupitia Guinness, Ndoo ya EPL imewasili Tanzania na itazunguka mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kablaya shuguli nyingine kuendelea jioni pale The Superdome-Masaki. Kesho, Mashabiki wanakuta KMC-Mwenge kwa siku ya soka na burudani na kutengeneza kumbukumbu na kombe hilo.

Leave a Comment