
Kama unapenda michezo ya kasino inayokufanya ufikirie haraka na kufanya maamuzi ndani ya sekunde chache, Meridianbet imekuandalia kitu kipya kabisa. Safari hii hakuna mfumo wa kawaida wa sloti, bali kuna Stock Trade, mchezo mpya uliotengenezwa na Expanse Studios unaokuweka moja kwa moja kwenye chati inayosogea muda wote. Kila sekunde inaweza kubadilisha kila kitu.
Stock Trade inakupa chati inayopanda na kushuka kama soko la kifedha. Kadiri mstari unavyopanda, ndivyo ukubwa wa ushindi unavyoongezeka. Hapo ndipo mchezo unapokuwa mtamu zaidi, kwa sababu lazima uamue wakati sahihi wa kuchukua hatua. Unaweza kuingia kwenye chati wakati wowote bila kusubiri raundi nyingine ianze, kisha ufuatilie mwenendo wake kwa umakini.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Siri kubwa iko kwenye Cash Out. Ukiona dau lako limefika sehemu unayoilenga, unaweza kuchukua ushindi wako kabla chati haijaporomoka. Lakini ukisubiri sana, soko la mchezo linaweza kubadilika ghafla. Stock Trade hivyo si mchezo wa kubahatisha muda pekee, unahitaji umakini na nidhamu katika maamuzi yako.
Kwa wanaofanya maamuzi sahihi, Stock Trade ina uwezo wa kufikia ongezeko kubwa la dau lako hadi mara 20,000 ya dau la mwanzo. Pia umeundwa mahsusi kwa matumizi ya simu, hivyo unaweza kufuatilia chati kwa urahisi kupitia skrini ya simu yako.
Sasa chati ipo tayari na ushindani umeanza. Fungua Meridianbet, ingia kwenye Stock Trade na uone kama unaweza kulisoma soko hili kabla halijabadilika. Usikurupuke, fuatilia chati, panga hatua yako na Cash Out kwa wakati unaoona unafaa.