Msisimko mpya unawasubiri wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kupitia Meridianbet, baada ya kutangazwa kwa shindano la Amusnet Cash Spin Race litakalofanyika hadi 22, 2026. Katika kipindi hiki, wachezaji watapata nafasi ya kushiriki kwenye michezo teule ya slotI za Amusnet na kuwania sehemu ya zawadi ya jumla ya Shilingi Milioni 4. Kwa washiriki, lengo ni kumaliza kwenye nafasi zinazolipwa na kuondoka na zawadi kulingana na matokeo ya mwisho.
Shindano hili limeandaliwa kwa mfumo wa msimamo, ambapo nafasi ya kila mshiriki itakuwa muhimu katika kuamua zawadi atakayopata. Wachezaji wanaotaka kushiriki wanapaswa kucheza michezo inayohusika na promosheni kwa dau la chini la Shilingi 500 kwa kila raundi. Kabla ya kuanza, ni muhimu kusoma masharti yote ya promosheni ili kuelewa vigezo vya ushiriki na namna matokeo yatakavyopangwa.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mshindi wa kwanza ataondoka na Shilingi Milioni 1, zawadi kubwa zaidi katika mashindano haya. Mshindi wa pili atapokea Shilingi 800,000, huku mshindi wa tatu akipata Shilingi 500,000. Zawadi hizi zinaweka ushindani wa kuvutia kwa washiriki wanaotaka kufikia nafasi za juu kwenye msimamo wa mwisho wa Amusnet Cash Spin Race.
Kwa wale watakaomaliza katika nafasi zinazofuata, bado kuna zawadi za kuwania. Nafasi ya nne na ya tano zitapata Shilingi 350,000 kila moja, nafasi ya sita hadi ya kumi zitapata Shilingi 100,000 kila moja, na nafasi ya 11 hadi ya 20 zitapata Shilingi 50,000 kila moja. Hii ina maana kuwa jumla ya washindi 20 watapata sehemu ya zawadi za Shilingi Milioni 4 zilizotengwa kwa ajili ya promosheni hii.
Usikose kufuatilia Amusnet Cash Spin Race kupitia Meridianbet katika kipindi cha Oktoba 10 hadi 22, 2026. Chunguza michezo inayoshiriki, elewa masharti na ufurahie burudani huku ukizidi kujitengenezea nafasi ya kushinda.