
Ni mbilinge mbilinge za mechi za Mataifa ndizo zinaoendelea ambapo kila nchi inahitaji kupata ushindi mnono leo. Wakali wa ubashiri wanakwambia kuwa nafasi ya kuwa Milionea ipo hapa. Bashiri hapa sasa.
Afrika leo hii mechi za kufuzu AFCON zipo nyingi, sisi tutawatazama moja ya wenyeji wa kichuano hii ambao ni Tanzania watakaokipiga dhidi ya Nigeria huku hii ikiwa ni mechi ya kisasi kwa wenyeji baada ya kupigika kwenye mechi ya kwanza walipokutana.
Tanzania wapo nafasi ya mwisho ambayo ni ya mwisho, huku Nigeria wao wakiwa nafasi ya 2 kwenye msimamo baada ya kujikusanyia pointi zao 6.
Chini ya kocha mkuu Gamondi bado Stars haipewi nafasi ya kushinda mechi hii kutokana na ubora wa wachezaji ambao timu pinzani inayo, pia wengi wa wachezaji wao wanacheza kwenye ligi kubwa Duniani. Je hii ni mechi ya wenyeji kushinda?. Suka jamvi hapa.
Piga pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

UEFA NATIONS kuendelea leo ambapo ni Wales atamenyana dhidi ya Ureno moja ya mechi ambayo itakuwa ikitazamwa sana kutoka na matokeo yao yaliyopita, ambapo timu hizi zote zimetoka kupoteza michezo yao iliyopita.
Lakini kwa upande wa Ureno hali imekuwa mbaya zaidi baada ya kupokea kipigo kizito kabisa huku maneno yakiibuka kwamba kutokuwepo kwa Ronaldo pia imechangia hivyo timu hiyo chini ya kocha mkuu Jorge inabidi ijiangalie.
Vijana wa Bellamy, Wales wanahitaji matokeo mazuri katika mchezo huu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuepuka kushuka daraja, lakini wanakutana na Ureno yenye kikosi chenye uzoefu na ubora mkubwa. Jisajili hapa.
Wales imekuwa na wakati mgumu katika michezo ya hivi karibuni, ikipoteza mechi nne kati ya tano za Nations League. Hata hivyo, uwepo wa Harry Wilson, David Brooks na Brennan Johnson unaweza kuongeza makali katika safu yao ya ushambuliaji.
Kwa upande wa Ureno, licha ya kupokea kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Denmark katika mchezo uliopita, wana wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo kama Bruno Fernandes, João Félix na Gonçalo Ramos. Pia, Ureno itahitaji kujipanga upya katika safu ya ulinzi kutokana na kukosekana kwa Rúben Dias, huku Wales ikitafuta kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata matokeo mazuri.
Kule kwa wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya kushinda Ureno. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.
Nao Denmark watakuwa kibaruani dhidi ya Norway ambapo kwenye msimamo wa Kundi wanapishana pointi 3 pekee, hii ni mechi ambayo kila timu inahitaji ushindi ili kuweza kujiweka kwenye nafasi ya pili.
Denmark ametoka kushinda mechi yake iliyopita hivyo anaingia kwenye mchezo huu akiwa na ari ya nguvu kabisa, halikadhalika kwa Norway naye amtoka kutoa dozi kubwa. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.
Timu zote zina wachezaji wakubwa na ambao wanacheza ligi kubwa wakiwemo kina Haaland, Hojlund, Odergaard na wengine wengi.