
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza orodha ya majina ya watu waliochukua na kurejesha fomu kwa ajili ya mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Klabu ya Simba SC.
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na TFF, jumla ya watu 48 wamejitokeza katika nafasi mbili za uongozi, ambapo wagombea saba wamechukua na kurejesha fomu kwa ajili ya nafasi ya Mwenyekiti, huku wengine 41 wakijitokeza kuwania nafasi za Wajumbe wa Bodi.
Katika nafasi ya Mwenyekiti, majina yaliyotajwa ni Anindumi Jonas Semu, Geoffrey Irick Nyange, Mohamed Khamis Soloka, Murtaza Ally Mangungu, Dkt. Seif Ramadhani Muba, Selemani Haroub Said na Swedy Khamis Mkwabi.
Uchaguzi Mkuu wa Simba Sports Club utakaofanyika Januari 30, 2027, jijini Dar es Salaam.
Kwa upande wa nafasi za Wajumbe wa Bodi, waliochukua na kurejesha fomu ni:
- Aaron Henry Mrina
- Abdallah Rashid Mgomba
- Alfred Martin Elia
- Andrew Julius Tupa
- Arnold Nzuamtemi Nzali
- Aziz Hussein Kaku
- Christopher Kabalika Mwansasu
- Damian Samwel Manembe
- Eli Achahofu Paulo
- Enock Bwigane Mwasubila
- Fadhili Mohamed Famonga
- Farid Awadh Tamim
- Francis Kumba Ndulane
- Hamisi Omari Tika
- Hassan Bakari Kakayoo
- Hussein Ally Simba
- Isabella Samwel Faya
- Issa Masoud
- Jamhuri Mussa Khwello
- Jonathan Wilisaa Nkya
- Juma Abbas Pinto
- Laurian Salvatory Mganga
- Mariam Abdallah Ibrahim
- Mariam Mussa Shemzigwa
- Muhamadi Mohamedi Hamisi
- Omari Juma Mazola
- Pendo Aidan Mapugio
- Rachel Juma Chagonja
- Raphael Masunga Chegeni
- Richard Shukia
- Rodney Makamba Chiduo
- Said Hassan Tully
- Saidi Abdallah Njechele
- Saleh Mohamed Afif
- Salum Issaka Hamidu
- Salum Kassim Maftah
- Shukuru Athumani Mtego
- Dkt. Suleiman Serera
- Ussi Salum Pondeza
- Wilfred Elias Nyamwija
- Yusuph Omary Yenga
