×

Mechi za Kibabe Leo! Arsenal, Man City Na Barcelona Kazini

Wakali wa ubashiri Tanzania wanazidi kukukumbusha kuwa pesa hapa hazikauki, unachotakiwa kufanya wewe ni kutengeneza jamvi lako la ushindi na ubeti sasa.

LALIGA kule Hispania pia itaendelea ambapo Deportivo A Coruna atakipiga na kinara wa ligi FC Barcelona ambao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi siku ya leo kutokana na ubora ambao wanazidi kuonesha.

Barcelona wanaongoza ligi wakiwa na pointi 36, huku Deportivo wakiwa nafasi ya 12 na pointi 15 baada ya michezo 13. Wenyeji wamekuwa na matokeo yasiyotabirika. Katika michezo yao ya karibuni ya ligi, walipoteza 3-1 dhidi ya Alavés, walitoka sare ya 0-0 na Espanyol, lakini waliifunga Osasuna 2-1.

Hansi Flick na wachezaji wake wanaingia kwenye mchezo huu kikiwa na matokeo mazuri. Kimeifunga Villarreal 3-2, Atlético Madrid 2-1 na Aston Villa 3-0 katika michezo yake ya karibuni. Barcelona wana nguvu kubwa katika safu ya ushambuliaji, lakini bado wamekuwa wakiruhusu mabao, jambo ambalo Deportivo wanaweza kulitumia

Leo hii ondoka na mkwanja wa maana kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

EPL kuwaka moto ni , Brighton dhidi ya Newcastle United huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 9 pekee huku mechi za misimu uliopita, kila timu ilishinda nyumbani kwake.

Brighton wametoka kupoteza mechi yao iliyopita, hivyo mechi hii wanaiangalia kwa jicho tofauti kabisa huku wageni wao pia wakiwa wametoka kutoa sare mchezo uliopita, hivyo kila timu inahitaji ushindi mechi hii. Je nani kushinda siku ya leo?.

Katika dimba la Emirates kutakuwa na mbungi ya kukata na shoka kabisa kati ya Arsenal dhidi ya Manchester City ambao bado wamekuwa na matokeo mabaya kwenye mechi za hivi karibuni chini ya Maresca. Jisajili hapa.

Vinara wa ligi Arsenal wametoka kutoa sare mechi yao iliyopita, halikadhalika kwa City ni hivyo hivyo. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mchezo huu wa leo huku nafasi ya kuondoka na ushindi akipewa mwenyeji wa mechi hii.

Kikosi cha Mikel Arteta kimeonyesha uimara msimu huu, lakini kimepoteza pointi katika michezo miwili iliyopita dhidi ya Newcastle na Borussia Dortmund. Changamoto kubwa ni kushindwa kutumia vizuri nafasi wanazotengeneza. Huku City nao wakishindwa kufurukuta nyumbani kwao dhidi ya Napoli.

 

Leave a Comment