×

Steven Gerrard Atangaza Ramsi Kutundika Daruga

gerrard-liverpool-europa-league_3269070UINGEREZA: Aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya soka ya Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza, Steven Gerrard atangaza ramsi kustaafu soka. Baada ya kucheza kwa miaka 14 mfululizo.

Aidha nyota huyo atakumbukwa kwa kuisaidia timu hiyo kushinda mataji kadhaa, Ligi ya Mabingwa Ulaya(2005), FA Cup(2001, 2006) na Kombe la ligi(Carling Cup 2001,2003,2012). Na kombe la UEFA Cup mwaka 2001 alipokuwa na umri wa miaka 18.

Nyota huyo anashikilia rekodi ya kucheza michezo 710 na kuwa mchezaji pekee wa Liverpool aliyevaa kitambaa cha Unaodha kwa muda mrefu zaidi. Huku timu ya taifa akiichezea michezo 114.

halotel-strip-1