×

Rais Magufuli Amteua Ngusa Samike Kuwa Mnikulu

magufulii

Rais Dk John Pombe Magufuli (pichani juu) leo maemteua Bwana Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu Ofisi ya Rais, Ikulu.

Katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Samike umeanza leo Desemba 13, 2016.

Kabla ya uteuzi, Samike alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Soma taarifa kamili kutoka ikulu hapa;

jpm-new

halotel-strip-1-1

INASIKITISHA MAITI SITA ZAFUNGWA KWENYE VIROBA ZATUPWA MTO RUVU