×

Shoo Ya Diamond Platnumz (Wasafi) Yaacha Historia Jangwani Sea Breeze Dar (Video)

wasafi-1 wasafi-23

Rais wa Wasafi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akifanya makamuzi usiku wa kuamkia leo Jangwani Sea Breeze jijini Dar.

wasafi-25

Diamond Platnumz akifanya yake stejini wa wacheza shoo wake.

diamond-1

Mashabiki wakimshangilia Diamond Platnumz (hayupo pichani).

wasafi-27

Wakiendelea kufanya yao.

wasafi-20 img_0089

Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, akifanya makamuzi.

wasafi-19

Harmonize akiongea na mashabiki wake.

wasafi-10

Staa wa Bongo Fleva, Raymond ‘Ray Vanny’,  akiwasalimia mashabiki kabla ya kuanza kuwapa burudani.

wasafi-6 wasafi-7 wasafi-8 …Akitoa burudani.

wasafi-3

Msanii Queen Doreen (kaikati) wa kundi la WCB Wasafi akifanya yake.

wasafi-2 Wasafi wakiwa ‘backstage’, kulia ni Wolper na Aunt Ezekiel.

wasafi-8  Aunt Ezekiel (katikati) akifanya yake.wasafi-10

…Akifuatilia shoo stejini.

WASAFI BEACH PART SHOO NDIVYO ILIVYOANZA HIVI

Navy Kenzo Kwenye Steji Wakifanya Yao

SALOME – DIAMOND FT RAY VAN LIVE PERFORMANCE WASAFI BEACH PART