

KLABU YA Chelsea imezidikujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya jana kuichapa Klabu ya Bournemouth bao 3-0 na kujikusanyia pointi 46 mbele ya Manchester City wenye pointi 39.Mbali na kuwakosa ma-straika wao machachali wakali wa kufumania nyavu, Diego Costa na Ng’olo Kante lakini bado Chelsea walionekana kuumudu mchezo hivyo kufanikiwa kupata ushindi wa 12 mfurulizo bila kushindwa.
Inavyoonekana Chelsea wanajaribu kufanya kweli ili wajihakikishie ushindi wa mapema kabisa wa Kombe la EPL msimu huu.
CHELSEA (3-4-3): Courtois 7; Azpilicueta 6.5, Luiz 6, Cahill 6; Moses 6.5 (Aina 89), Fabregas 7, Matic 6.5, Alonso 6; Willian 7 (Chalobah 83), Hazard 8 (Batshuayi 90), Pedro 7.5.
Subs not used: Begovic, Ivanovic, Zouma, Loftus-Cheek.
Scorers: Pedro 23, Hazard 49 pen
Booked: Pedro
Manager: Antonio Conte 7.
BOURNEMOUTH (3-5-1-1): Boruc 6; Francis 5, Cook 5, Daniels 5; A Smith 6, Gosling 6.5, Surman 6.5 (Stanislas 66), Arter 6, B Smith 6 (Ibe 77); Wilshere 6; King 5 (Afobe 66).
Subs not used: Wilson, Federici, Fraser, Mings.
Booked: Wilshere
Manager: Eddie Howe 6.
Man of the Match: Eden Hazard
Referee: Mike Jones (Cheshire) 6
Attendance: 41,384