ZANZIBAR: Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga Klabu ya Yanga kwa mikwaju ya penati 4-2 wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, na kufanikisha kutinga fainali za kombe hilo ambapo itakutana na Azam FC siku ya Ijumaa.Mchezo ulikuwa mgumu na kupelekea kuisha kwa sale ya bila kufungana hadi matuta yalipotengwa.

Simba
Mkude KAFUNGA
Agyei KAFUNGA
Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa)
Muzamiru KAPATA
Bukungu KAPATA
Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa)
Muzamiru KAPATA
Bukungu KAPATA
(WAMEPATA 3, WAMEKOSA 1)
Yanga
Dida KAKOSA (Agyei anadaka hapa)
Msuva KAPATA
Kamusoko KAPATA
Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa)
(WAMEPATA 2, WAMEKOSA 1)
Msuva KAPATA
Kamusoko KAPATA
Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa)
(WAMEPATA 2, WAMEKOSA 1)