The House of Favourite Newspapers

Video: Simba Walivyotua Dar Baada ya Kichapo cha Azam FC na Kuzomewa


simba-sc-1

DAR ES SALAA: TIMU ya Simba SC yenye makao yake makuu Mtaa wa Msimbazi, imerejea leo jijini Dar es Salaam ikitokea Visiwani Zanzibar baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

simba-sc-2

Simba imerejea nyumbani ikiwa imenyong’onyea kufuatia kipigo ilichokipata jana kutoka kwa wanaramabaramba, Azam FC ambao iliiyoinyuka Simba kwa bao 1-0, bao pekee  lililofungwa na  dakika ya 13 na kiungo Himid Mao ‘Ninja’ ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo na kuwafanya Azam kutwaa ubinwa wa michuano hiyo.

simba-sc-3

Hapa nimekuwekea picha za Simba walivyowasili leo kwenye Bandari ya Dar es Salaam kwa usafiri wa Boti ya MV Azam. simba-sc-4 simba-sc-5 simba-sc-6 simba-sc-7 simba-sc-8 simba-sc-9 simba-sc-10 simba-sc-11 simba-sc-12 simba-sc-13 simba-sc-14 simba-sc-15 simba-sc-16 simba-sc-17 simba-sc-18 simba-sc-19

Comments are closed.