The House of Favourite Newspapers

Simba SC Yamtangaza Mchezaji Wake Bora wa Mwezi Disemba

mwanjale

Beki Method MWanjale amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kikosi cha Simba kwa mwezi Desemba, 2016.
Mwanjale raia wa Zimbabwe ameonyesha ukomavu katika kikosi cha Simba, hasa aina ya uchezaji wake.
Simba imekuwa na kawaida ya kuchagua mchezaji wa mwezi na kumzawadiwa na kweli Mwanjali alistahili.

Comments are closed.