×

Picha: Simba Wafanya Mazoezi Ya Mwisho Kuivaa Azam Kesho

simba-1Kiungo wa Simba, Muzamiru Yasin akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa timu jiyo, Juma Luizio katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo ya kujiandaa na mechi ya kesho dhidhi ya Azam yaliofanyika kwenye Uwanja wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Dege Beach, Dar es Salaam.

simba-2

Jonas Mkude (kulia) akionyesha uwezo wake wa kumiliki mpira kwa kutumia paja katika mazoezi hayo.

simba-3

Mohammed Ibrahim ‘MO’, naye hakuwa nyuma kuonyesha ufundi wake wa kumiliki mpira katika mazoezi hayo.

simba-4

Mkude (kulia) akijiandaa kuucheza mpira kwa kichwa aliopigiwa na kiungo mwezeka wa timu hiyo Said Ndemla (kushoto) katika mazoezi hayo.

simba-5

Straika wa timu hiyo, Laudit Mavugo (kulia) akijiandaa kuonyesha utundu wake wa kuchezea soka katika mazoezi hayo

simba-6

Winga wa timu hiyo, Shiza Kichuya, pia hakuwa hunya katika mazoezi hayo kuonyesha juzi wa wake wa kumiliki mpira.

simba-7

Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakifanya mazoezi ya kukimbia baada ya kumaliza yale ya kuchezea mpira.

simba-8

PICHA: MUSA MATEJA/GPL